Friday, February 6, 2009

Washa kwa waandishi wa habari
Washa ya mafunzo ya mtandao kwa waandishi wa habari iliyoandaliwa na MISATAN nililiyoshiriki nimejifunza jinsi ya kutumia mtandao na kupata Mafanikio ambayo yatanisaidia katika kufanya kazi ya uwandishi wa habari kwa kutumia mtandao.

Mafanikio hayo ni jinsi kupata taarifa,kukusanya taarifa mbalimbali katika mtandao na kujua jinsi ya kupata anuwani za sehemu mbalimbali.mfano ukingia www.wikipedia.com ni rahisi kupata taarifaa mbalimbali kwa kutumia Google na www.amazon.com


Kupata taarifa kupitia vyombo vya habari kutumia mtandao ambao unataarifaa za kisasa zaidi ,mfano www.bbc.co.uk , www.ippmedia.co.tz, www.mwananchi.com. www.allafrican.com.

Pia nilifanikiwa kufungua blog ana nimekuwa mwana blog rasmi ,baaada ya mwalimu Peik Johansson (www.peik.fi) kutufundisha na kuelewa jinsi ya kufungua na kuandika wapi taarifa umezitoa kwa kutumia mtandao na habari ikawa inaukweli na imeeleweka

Kama wandishi wa habari nilijua jinsi ya kuweka picha katika blog kwa urahisi zaidi baada ya kufundishwa na mkufunzi Maggidi Mjengwa jinsi ya kuweka picha katika blog na jinsi ya kuitumia.

Kupata hapari kwa kutumia www.youtube.com, hellow in many language kwa kutumia Google

No comments:

Post a Comment